Nyota wa timu ya Liverpool Sadio Mane aliiongoza timu yake ya taifa Senegal kukata tiketi ya kushiriki kinyang'anyiro cha kuwania Kombe la Dunia. Kando na Senegal, timu nyingine za Afrika ambazo ...